Tunajenga marketplace inayowaunganisha watoa huduma za msiba na watu wanaotafuta huduma. Jiandikishe mapema ili uwe miongoni mwa providers wa kwanza.
Chagua huduma unazotoa — unaweza kuchagua zaidi ya moja.
Faida za kuwa miongoni mwa watoa huduma wa kwanza kwenye MSIBA MARKETPLACE.
Fikia watu wanaotafuta huduma zako katika eneo lako na kuongeza wateja wapya.
Onyesha biashara, huduma, location na mawasiliano yako kwa urahisi na kitaalamu.
Pata nafasi ya mapema kwenye marketplace na uwe mstari wa mbele kabla ya wengine.
Hatua tatu rahisi za kuanza kupata wateja kupitia MSIBA MARKETPLACE.
Weka taarifa za biashara yako, huduma na mawasiliano.
Wateja wataweza kuona huduma zako na kuchagua wanazohitaji.
Watu wanaohitaji huduma wataweza kukuomba huduma moja kwa moja.
Kabla hatuja-launch rasmi, tunataka kusikia kutoka kwa watoa huduma wenyewe. Taarifa zako zitatusaidia kujua huduma zinazohitajika na features muhimu za marketplace.
Muhtasari wa watoa huduma waliojiandikisha.